Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
  • Видео 170 812
  • Просмотров 1 929 109 062
Tani 40 za chakula na dawa zawasili kutoka India
Maafisa wa serikali wakiongozwa na waziri wa maeneo kame Penina Malonza, katibu wa baraza la mawaziri Mercy Wanjau na msemaji wa serikali Isaac Mwaura wamepokea msaada wa chakula na bidhaa nyingine za kusadia waathiriwa wa mafuriko kutoka taifa la India.
Просмотров: 180

Видео

Daraja la Thiiti ni hatari!
Просмотров 208
Wazazi eneo la Kirigicha kaunti ya Tharaka Nithi wana wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa visa vya watoto kuanguka mtoni kutokana na hali mbaya ya kivuko cha mto Thiiti.
Wakaazi wa Nandi wataka masharti ya kutoa mikopo yalegezwe
Просмотров 47
Mashirika na taasisi zinazotoa mkopo ama msaada wa kifedha kwa vikundi tofauti tofauti vikiwemo vile vya vijana, kina mama na watu wanaoishi na ulemavu yametakiwa kulegeza baadhi ya masharti ili kuwezesha vikundi kunufaika zaidi .
Wakaazi wa Meru wataka sera ya kuajiri wafanyikazi ibadilishwe
Просмотров 60
Bunge la Kaunti ya Meru limepitisha Mswada wa ajira na huduma za umma. Mswada huo uliowasilishwa na Mwakilishi wadi maalum Zipporah Kinya , unalenga kuishinikiza kaunti ya meru kukabiliana na changamoto za ajira, ikiarifiwa kuwa kaunti hiyo ilitumia shiligi milioni 110 kuwalipa wafanyikazi kwa mujibu wa ripoti ya mdhibiti wa bajeti.
Madhara ya mafuriko Tana River
Просмотров 129
Huku mafuriko yakiendelea kuathiri maeneo Tofauti nchini, katıka eneo la Tana delta kambi zaidi zinaendelea kukumbwa na changamoto huku wakereketwa wa kutetea haki za watoto wakiendelea kutoa ufahamu kuhusu kulinda watoto wakati huu wa janga la mafuriko.
Medical laboratory officers reinvigorate their strike
Просмотров 83
Medical laboratory officers reinvigorate their strike
Idadi ndogo ya wanafunzi yarejea shuleni Migori kutokana na mafuriko
Просмотров 51
Ni Idadi ndogo tu ya wanafunzi iliyofika shuleni katika Maeneo ya Nyora, Kabuto na Angugo kaunti ya Migori huku madhila ya mafuriko yakiendelea kushuhudiwa katika maeneo hayo.
Athari ya mafuriko Lamu
Просмотров 341
Kukatizwa kwa usafiri katika barabara kuu ya Lamu Witu na Garsen katika eneo la Gamba baada ya kusombwa na mafuriko, kumeathiri pakubwa swala la elimu ambapo wanafunzi wengi hadi sasa hawajaweza kusafiri kuelekea shuleni.Hii ni kutokana na hofu ya kuvuka kwa maboti sawia na gharama za usafiri eneo hilo la Gamba.
Viongozi wa kidini wataka uhalifu uangamizwe kabisaa Mombasa
Просмотров 143Час назад
Viongozi Wa Kidini Kutoka Mombasa Wanataka Maafisa Wa Usalama Kukabiliana Na Wahalifu Ambao Wamekuwa Wakihangaisha Wakaazi. Wakiongea Huko Chaani Ambapo Walikongamana Kutafuta Mikakati Ya Kuhubiri Amani Na Ushirikiano Na Maafisa Wa Polisi Viongozi Hao Wametaka Wazazi Kuwajibika Na Kudhibiti Mienendo Ya Watoto Wao Mara Kwa Mara.
Waziri Murkomen atathmini athari za kukatika kwa barabara kuu ya Lamu kuelekea Witu na Garsen
Просмотров 389Час назад
Waziri wa barabara na uchukuzi kipchumba Murkomen anatathmini athari za kukatika kwa barabara kuu ya Lamu kuelekea Witu na Garsen baada ya barabara hiyo kusombwa na mafuriko katika eneo la Gamba. Hali hiyo imesababisha mbolea iliyoko kwenye meli iliyowasili katika bandari ya lamu ijumaa kukwama. mbolea hiyo ilikuwa ipakiwe kwenye malori na kusafirishwa kwa barabara hadi ethiopia.
Rais Ruto kuongeza ushuru kutoka asilimia 14 hadi asilimia 22
Просмотров 559Час назад
Rais William Ruto ametetea hatua ya serikali kuongeza ushuru maradufu akisema kuwa hatua hiyo inalenga kuongeza mapato ya kitaifa na kupunguza hulka ya kutegemea mikopo. Ruto amesema kuwa ananuia kuongeza ushuru kutoka asilimia 14 hadi kumi na sita kufikia mwisho wa mwaka huu, lengo kuu likiwa kufikisha ushuru wa asilimia 22 atakapoondoka kama rais.
Muungano wa Azimio watishia kufanya maandano kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024
Просмотров 395Час назад
Muungano Wa Azimio Sasa Unatishia Kuandaa Maandamano Kote Nchini Kupinga Mswada Wa Kifedha Wa Mwaka 2024. Katika Mkutano Wa Kujadili Mapendekezo Ya Nyongeza Ya Uhsuru Katika Mswada Huo, Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Amedokeza Kuwa Upinzani Hautakubaliana Na Serikali Kupitisha Mswada Huo Na Kuwataka Wabunge Wote Wa Azimio Katika Bunge La Kitaifa Kupinga Mswada Huo Utakapofikishwa Bungeni.
Maporomoko ya ardhi Kimende, kaunti ya Kiambu
Просмотров 902Час назад
Ili kutoa nafasi kwa juhudi za uokoaji kuwatafuta watu watatu wanaodhaniwa wamefukiwa kwenye maporomoko ya udongo yaliyotokea katika eneo la Matathia eneo bunge la Kimende Lari, barabara ya Kimende Matathia imefungwa kwa muda. Wenyeji waliripoti kuwa jana saa nane mchana, kuwa watu walioathirika hawakuweza kukimbia tukio hilo la kusikitisha, ambalo lilizua hofu na wasiwasi. Juhudi za kutafuta m...
Jukwaa la Afya | Mdahalo kuhusu shinikizo la damu (Part 4)
Просмотров 86Час назад
#CitizenTV #CitizenDigital
Jukwaa la Afya | Mdahalo kuhusu shinikizo la damu (Part 3)
Просмотров 323Час назад
#CitizenTV #CitizenDigital
Jukwaa la Afya | Mdahalo kuhusu shinikizo la damu (Part 2)
Просмотров 1502 часа назад
Jukwaa la Afya | Mdahalo kuhusu shinikizo la damu (Part 2)
Jukwaa la Afya | Mdahalo kuhusu shinikizo la damu (Part 1)
Просмотров 1552 часа назад
Jukwaa la Afya | Mdahalo kuhusu shinikizo la damu (Part 1)
Muslim leaders ask MPs to throw out taxes in Finance Bill 2024 likely to increase the cost of living
Просмотров 4153 часа назад
Muslim leaders ask MPs to throw out taxes in Finance Bill 2024 likely to increase the cost of living
Wanajeshi, viongozi na wafanyakazi wa Nzoia Sugar wapanga miti zaidi ya 3,000
Просмотров 6253 часа назад
Wanajeshi, viongozi na wafanyakazi wa Nzoia Sugar wapanga miti zaidi ya 3,000
Viongozi wa Azimio wakutana kutathmini mswada wa fedha wa mwaka wa 2024
Просмотров 7273 часа назад
Viongozi wa Azimio wakutana kutathmini mswada wa fedha wa mwaka wa 2024
Kampuni za kidijitali za uchukuzi zaanza kugeukia matumizi ya kawi safi
Просмотров 1213 часа назад
Kampuni za kidijitali za uchukuzi zaanza kugeukia matumizi ya kawi safi
Raymond Omollo asema maandalizi ya sikukuu ya Madaraka uwanjani Masinde Muliro yameshika kasi
Просмотров 4143 часа назад
Raymond Omollo asema maandalizi ya sikukuu ya Madaraka uwanjani Masinde Muliro yameshika kasi
Magavana wakosoa bunge kwa kutoongeza mgao wa kaunti
Просмотров 1403 часа назад
Magavana wakosoa bunge kwa kutoongeza mgao wa kaunti
Maseneta waikosoa hazina ya kitaifa kwa kutuma mgao wa kaunti kwa kuchelewa
Просмотров 1163 часа назад
Maseneta waikosoa hazina ya kitaifa kwa kutuma mgao wa kaunti kwa kuchelewa
Waathirwa wa ukeketaji zaidi ya 200 wakongamana Nairobi
Просмотров 2363 часа назад
Waathirwa wa ukeketaji zaidi ya 200 wakongamana Nairobi
Jamii yahamasishwa eneo la Msambweni kuhusu elimu ya mtoto wa kike
Просмотров 1163 часа назад
Jamii yahamasishwa eneo la Msambweni kuhusu elimu ya mtoto wa kike
Walimu wa sekondari msingi Kericho waapa kufanya maandamano kila Siku
Просмотров 2794 часа назад
Walimu wa sekondari msingi Kericho waapa kufanya maandamano kila Siku
Mwanaume wa miaka 35 apatikana amefiriki nyumbani kwake Nyamira
Просмотров 3854 часа назад
Mwanaume wa miaka 35 apatikana amefiriki nyumbani kwake Nyamira
Wauguzi watishia kugoma Kisii
Просмотров 1464 часа назад
Wauguzi watishia kugoma Kisii
Moto wateketeza magari na maduka Kitale
Просмотров 1,2 тыс.4 часа назад
Moto wateketeza magari na maduka Kitale

Комментарии

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 26 секунд назад

    Insha Allah Allah ajaalie iwe marufuku kabisa

  • @thekenyancomment254
    @thekenyancomment254 Минуту назад

    Out of all thsed adults no one could think straight surely!!!

  • @FITKenya
    @FITKenya 4 минуты назад

    peer pressure

  • @jamesmuriithi7137
    @jamesmuriithi7137 5 минут назад

    The lack of shame by this guy baffles me.

  • @pastoronyachi
    @pastoronyachi 7 минут назад

    Increase even up to 50% but one day you will bear the repercussions

  • @sharonambitho4278
    @sharonambitho4278 10 минут назад

    May the Lord use you to help and guide others as you bravely walk this journey Winnie

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 12 минут назад

    Alahmulillah.mama zetu na wanetu na Allah awaepushe

  • @nappispi7780
    @nappispi7780 17 минут назад

    fire power 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jamesndungi2433
    @jamesndungi2433 17 минут назад

    Na watu wa mlima wakikutana mnaongea ongea ovyo

  • @Subscribeformorefun.
    @Subscribeformorefun. 17 минут назад

    Miraa imekua gateway drug sai heri ipigwe marufuku

  • @monicaakinyi2284
    @monicaakinyi2284 17 минут назад

    poleni sana

  • @selevesterokubasu492
    @selevesterokubasu492 18 минут назад

    The problem is wetangula.... very stupid

  • @ipetert5372
    @ipetert5372 20 минут назад

    Multi nationals short change Africa by control of trade and market of their products. They buy high quality coffee tea cocoa minerals and blend with crappy products from other nations and sell at highest prices under their own names. Swiss chocolate without a tree in Switzerland. Farmers get paid peanuts

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 22 минуты назад

    Gavana pandisha ushuru kila siku 30k huwezi katafute soko kwingine

  • @joachimkasyoki8425
    @joachimkasyoki8425 23 минуты назад

    Nice information

  • @christophermwangi4919
    @christophermwangi4919 24 минуты назад

    Overtaxing the citizens without raise on wages is total oppression ‼️‼️

  • @timonhenry5039
    @timonhenry5039 25 минут назад

    Anapima Kenya France hayuko sawa

  • @NahashonF.W.Gicheha-wb7ou
    @NahashonF.W.Gicheha-wb7ou 26 минут назад

    I have no problem with the 22%, it's actually a great way to get resources no external debt... BUT where are this Taxes going? INTO people's pockets

  • @daprince7545
    @daprince7545 27 минут назад

    Congratulations kwa kuzuia uzaji wa mgokaa na miraa. Alafu next pambaneni na mlaguzi mkubwa wa heroine na cocaine uko pwani na mwamjua lakini vizur sana

  • @mercychebet9938
    @mercychebet9938 28 минут назад

    Senge💖💖💖

  • @mathekahenri7008
    @mathekahenri7008 28 минут назад

    Ruto must go

  • @sammykawambo222
    @sammykawambo222 30 минут назад

    😮😂😂😂habari motomoto

  • @selevesterokubasu492
    @selevesterokubasu492 33 минуты назад

    Kakai uko sawa

  • @JoshuaNzoka-ti1uf
    @JoshuaNzoka-ti1uf 34 минуты назад

    Hapo sawa

  • @eddyedduu6912
    @eddyedduu6912 38 минут назад

    Kelele za chura

  • @sandugurufoldermutwiri3252
    @sandugurufoldermutwiri3252 40 минут назад

    You are misusing our taxes on your luxuries,,but there is God in heaven,,,,one day you will regret being a president,,,nothing to celebrate

  • @abdinurabdullahi8681
    @abdinurabdullahi8681 40 минут назад

    Kkkkk Sam you are asking Mr Ruku very difficult question.

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 41 минуту назад

    Hot air....Those are mainly meant for political protesters no bandits will ever be defeated by armored vehicles but by proper security forces

  • @BerniceDaniel-th9dz
    @BerniceDaniel-th9dz 43 минуты назад

    Miraa is not a drug it's a cash crop like any other 😊

  • @CheyechMercy
    @CheyechMercy 45 минут назад

    Huyu atakuwa MCA then Mp

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 48 минут назад

    Pia MAO ya walaji tambuu, zaidi wahindi hutumia, huliwa na tambuu huleta cancer ya koo. PIGA MARUFUKU. Duka kubwa iko Timboni karibu Congo boys club.

  • @liliannganga5045
    @liliannganga5045 50 минут назад

    Poleni sana,mungu asaidie nchi yetu na atusamehe

  • @allanambenge5614
    @allanambenge5614 52 минуты назад

    This Ruku guy is a salvage. He it to confused

  • @sospetermaina983
    @sospetermaina983 52 минуты назад

    Bangi ni marufuku lakini... Ata polisi huvuta😂😂😂 tafakari haya

  • @nyaoremakarrriku91
    @nyaoremakarrriku91 53 минуты назад

    Shit man who never have the people at heart.

  • @AdowIbrahim-ck3vp
    @AdowIbrahim-ck3vp 53 минуты назад

    Masha Allah good

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 55 минут назад

    Marufuku kabixa,ndugu zetu waskitisha kama wanyama xaxa,kutwa watafuna majani mpaka waboa😢

  • @NAMSHOEFASHION
    @NAMSHOEFASHION 56 минут назад

    God 🙏 have your way

  • @tyc611
    @tyc611 58 минут назад

    lol In Countries like France, transport, education, healthcare, old age care systems Work. Here, it is a burden of the citizen😅

  • @eliaswamae3234
    @eliaswamae3234 Час назад

    Any reasonable economic recuperation and recovery is known to be achieved by implementation of tax cuts curbing of corruption. Leaks and channeling or siphoning will not relent and no amount of tax increase will service a corrupt economy. It has become a way of life.

  • @jeffmmoja2881
    @jeffmmoja2881 Час назад

    Mr gachietha who's your pple??

  • @msuzann6005
    @msuzann6005 Час назад

    Good question 😂

  • @robertkaruga7088
    @robertkaruga7088 Час назад

    This is a plain liar, we are overrepresented especially in the political seats, and yet we are adding more CASs

  • @kennedychuma7818
    @kennedychuma7818 Час назад

    Apewe kazi bc

  • @TitusMchana
    @TitusMchana Час назад

    Five more years we ❤u

  • @andrewuser1381
    @andrewuser1381 Час назад

    Mairungi lazima 😂

  • @user-zj4qm6xh6v
    @user-zj4qm6xh6v Час назад

    Huyu ni wake alimzaa akiwa High skul

  • @vergeq1
    @vergeq1 Час назад

    Wacha wakenya waumie kabisaa kabisaa...ndio waanze kupiga kura na akili

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 Час назад

    sawa kabisaaaa marufuku

  • @carolineamadi8361
    @carolineamadi8361 Час назад

    Number ya simu please